PICHA:Wananchi wa TUKUYU Wilayani RUNGWE waingiwa na kiwewe kuona Helikopta Wakidhani Malawi waanza

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
MONDAY, OCTOBER 29, 2012[h=3]WAKAZI WA TUKUYU WILAYANI RUNGWE WAINGIWA NA KIWEWE BAADA YA KUIONA HELKOPTA IKITUA KATIKA KIWANJA CHA TANDALE WAKIDHANI WAMALAWI WAMESHAANZA VITA[/h]

WAKAZI WA TUKUYU WAKISHANGAA HELKOPTA ILIYOTUA KWA MUDA KATIKA KIWANJA CHA TANDALE CHA KUSHSNGAZA BADALA KUKIMBIA WAKAANZA KUIKIMBILIA HUKU WAKISEMA WAMALAWI WAMEANZA VITA KWAKWELI INA HITAJIKA ELIMU KWA WANANCHI WETU MAANA HII NI HATARI
HELKOPTA HIYO IKIONDOKA UWANJANI HAPO

MAMIA YA WAKAZI WA MJI WA TUKUYU LEO WALIPATWA NA TAHARUKI BAADA YA KUIONA HELKOPTA IKITUA KATIKA UWANJA WA TANDALE WAKIDHANIA NI NDEGE ZA MALAWI WAMEKUJA KUIPIGA TANZANIA. LAKINI CHA KUJIULIZA WATU WENGI HAWAKUJIHADHARI NA HILO WALILOLIDHANIA BADALA YA KUCHUKUA TAHADHARI AJABU WATU WAZIMA, WATOTO VIJANA NA HATA VIONGOZI WALIOKUWA OFISIN MUDA HUO WALITOKA KUELEKEA KUSHANGAA KULIKONI KUTUA NDEGE HAPO. IMANI YANGU KUWA PAMOJA NA MGOGORO ULIOPO KATI YA MALAWI NA TANZANIA KUHUSU MPAKA ULIOPO ZIWA NYASA WATANZANIA TUNATAKIWA KUPATA ELIMU YA USALAMA KWANZA MAANA TUNAPENDA KUKIMBILIA MATUKIO TUSIYOYAJUA, MENGINE NI HATARI.

Na Ally Kingo Tukuyu
 
Hawajawai ona vita ingekuwa Congo kila mtu anakimbilia kwenye handaki!
Isije ikawa ndo ile ya mama Tibaijuka kwa ajili ya upimaji wa mpaka
 
Inaonyesha Wananchi hawaiamini SERIKALI ya CCM na MAELEZO yao; au Tumepumbazishwa
sasa tukikimbilia si ndio watatumaliza???
 
Si walisema wanataka kuestablish coordinates za mpaka wa ziwa na tangazo likatolewa? Je hawakuwatangazia watu wa tukuyu?
 
Sio Tukuyu tu hata mijini humu ikitokea helikopta ni balaa,hata kazi zinasimama kwa muda kwenda kushangaa hiyo ndege;Watanzania tunapenda sana kuwa mashahidi kwa kila tukio;sidhani Iraq,syria wanakimbilia hivyo labda waone alama ya UN wanakimbilia vyakula
 
Ama kweli ushamba ni mzigo, tangu lini helikopta iliyokuja kivita ikatua kwa amani kiasi hicho cha wao kupata fursa ya kwenda kuishangaa. Yaani mjue mmekuja kupigwa na bado mjipeleke wenyewe kama mbwa mbele ya chatu! Kweli ushamba ni tishio.
 
na ingekuwa wamalawi kweli wangekufa kama kuku!

Weweeee....Tanzania katika mambo ya ndondi tuko FIT ile FIT kinoumer, ingekua ni helkopta ya Malawi hata hapo Tukuyu isingefika. Ingeishatunguliwa zamani za kale, chezea Tanzania weye kwenye ndondi za kivita?? Uliza Comolo na Uganda watakwambia.
Jeshi letu liko makini tofauti na unavyoweza kufikiria.

Jiulize kwanini yule mama kakimbilia kupiga kelele za kuishtaki Tanzania? Anajua angetwangwa hata kabla hajajipanga ndio maana kakimbilia kupaza sauti asikike....usicheze na TZ when it comes to war, tuko FIT ndugu yangu!
 
Msiwafanye watanzania kama mazoba sana, subirini 2015 hakuna namba mtaacha kuisoma.
 
Hayo ndiyo matokeo ya mfumo wa elimu ya ccm...ukitaka kumtawala vizuri mtanzania,mnyime elimu bora akose maarifa!
 
MONDAY, OCTOBER 29, 2012WAKAZI WA TUKUYU WILAYANI RUNGWE WAINGIWA NA KIWEWE BAADA YA KUIONA HELKOPTA IKITUA KATIKA KIWANJA CHA TANDALE WAKIDHANI WAMALAWI WAMESHAANZA VITA

<tbody>
</tbody>
HELKOPTA HIYO IKIONDOKA UWANJANI HAPO

MAMIA YA WAKAZI WA MJI WA TUKUYU LEO WALIPATWA NA TAHARUKI BAADA YA KUIONA HELKOPTA IKITUA KATIKA UWANJA WA TANDALE WAKIDHANIA NI NDEGE ZA MALAWI WAMEKUJA KUIPIGA TANZANIA. LAKINI CHA KUJIULIZA WATU WENGI HAWAKUJIHADHARI NA HILO WALILOLIDHANIA BADALA YA KUCHUKUA TAHADHARI AJABU WATU WAZIMA, WATOTO VIJANA NA HATA VIONGOZI WALIOKUWA OFISIN MUDA HUO WALITOKA KUELEKEA KUSHANGAA KULIKONI KUTUA NDEGE HAPO. IMANI YANGU KUWA PAMOJA NA MGOGORO ULIOPO KATI YA MALAWI NA TANZANIA KUHUSU MPAKA ULIOPO ZIWA NYASA WATANZANIA TUNATAKIWA KUPATA ELIMU YA USALAMA KWANZA MAANA TUNAPENDA KUKIMBILIA MATUKIO TUSIYOYAJUA, MENGINE NI HATARI.

Na Ally Kingo Tukuyu

<tbody>
</tbody>

Ili kuutendea haki uzi huu, mleta habari unatakiwa sasa kueleza, hiyo Helikopta ilikuwa ni ya nani, ilifuata nini hapo, na kama utaweza kujua kama ilifanikiwa kupata ilichokifuata sio mbaya. Umeiacha habari inahang that is why watu including yourself mmedakia habari za majeshi ambayo pengine hata hayahusiki. Hebu rudi unyooshe maneno.
 
Weweeee....Tanzania katika mambo ya ndondi tuko FIT ile FIT kinoumer, ingekua ni helkopta ya Malawi hata hapo Tukuyu isingefika. Ingeishatunguliwa zamani za kale, chezea Tanzania weye kwenye ndondi za kivita?? Uliza Comolo na Uganda watakwambia.
Jeshi letu liko makini tofauti na unavyoweza kufikiria.

Jiulize kwanini yule mama kakimbilia kupiga kelele za kuishtaki Tanzania? Anajua angetwangwa hata kabla hajajipanga ndio maana kakimbilia kupaza sauti asikike....usicheze na TZ when it comes to war, tuko FIT ndugu yangu!

Safi sana mkuu.
Kwa taarifa ya wanaJF wiki hizi mbili ndege za kivita zimekuwa zikipiga doria kiroho mbaya kanda hiyo na wananchi walikwisha tahadharishwa wasiwe na wogo maana mipaka inalindwa full nondo.

Tanzania tuna amani bwana!
 
Ili kuutendea haki uzi huu, mleta habari unatakiwa sasa kueleza, hiyo Helikopta ilikuwa ni ya nani, ilifuata nini hapo, na kama utaweza kujua kama ilifanikiwa kupata ilichokifuata sio mbaya. Umeiacha habari inahang that is why watu including yourself mmedakia habari za majeshi ambayo pengine hata hayahusiki. Hebu rudi unyooshe maneno.

409253_419846548071030_688110958_n.jpg
 
Back
Top Bottom