Nadhani siyo mbaya tukikubaliana on this kwamba it makes a good sense kusema kuwa hiki ni kikundi cha kwaya na walikuwa kwenye process ya kuimba. Binafsi inaniingia hiyo.
Njaa mbaya.Waswahili wanasema ''adui yako muombee njaa''
Fikiria,huyo mzee kama ni baba yako anajidhalilisha apate kulisha
familia au ada ya watoto waende shule!
Ni lazima tuungane kuondoa ukoloni mamboleo
bila kujali kabila wala dini zetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.