Picha: Wana-CCM hii ni sawa? Ongea chochote hapa.

Picha: Wana-CCM hii ni sawa? Ongea chochote hapa.

noma sana

New Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Mi sijaelew. Ndio utiifu kwa viongozi?
attachment.php
 

Attachments

  • 1419161439463.jpg
    1419161439463.jpg
    48.1 KB · Views: 1,981
Mi sijaelew. Ndio utiifu kwa viongozi?

Huu ni utumwa, wanayempigia magoti hatakuwa na msaada nao baada ya miezi takribani kumi na moja ijayo,This is BIG BIG SHAME hasa huyo mzee aliyewatangulia kweli kweli wamefikishwa HAPA? akija MUMEWE watafanyaje?
 
Nilivyoanza kuona magazeti ya Shigongo yakiandika story za misukule mwanzoni sikuamini kabisa lakini sasa naanza kuona uwezekano wa haya mambo! kuna mtu niliwahi kumsikia akinena kuwa Tanzania ya sasa inaendeshwa na nguvu za giza, hapa kwa hakika huenda inahusika maana binadamu timamu hawezi kufanya haya!
 
njaa ni mbaya sana hawa shetani wa ccm wanapigiwa magoti huu udhalilishaji mkubwa sana.
 
Ni unafiki zaidi na ghiriba.

Haiwezekani, zee zima na manvi kichwani likifanya mambo ya hovyo na ajabu namna hii kisa nini? ccm!!!
 
Natamani lije lori la mchanga lililofail brake lipasawazishe hapo...
 
sawasawa kabisa hiyo..Kile ambacho hujaelewa ni kuwa hao wanaimba kwaya na moja ya manjonjo yao ni kupiga magoti kuonyesha kuwa chama chetu kiko chini kwa watu sio kile cha chopa
Mi sijaelew. Ndio utiifu kwa viongozi?
attachment.php
 
sawasawa kabisa hiyo..Kile ambacho hujaelewa ni kuwa hao wanaimba kwaya na moja ya manjonjo yao ni kupiga magoti kuonyesha kuwa chama chetu kiko chini kwa watu sio kile cha chopa


chama chenu kipo chini, na mikono mbona inaomba, au kwa kuwa mwenyekiti wa chama chenu ndiye anayeongoza kwa kutembeza bakuli.
 
Back
Top Bottom