Picha: wachezaji wa man utd wakiwa na furaha usoni waliporudi nyumbani

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,614
Mzuqa

Baada ya ushindi wao dhidi ya Juve Turin wachezaji wa Mani walionekana wenye furaha sana walpotua jiji la manchester. Hii pia imewaongezea morali kuikung'uta sitee wikendi hii.

Pogba hakuweza kusafiri pamoja na wenzake kwasababu ya vipimo vya mkojo ambapo UEFA uwashtukizia wachezaji. Lakini alisafiri pamoja na mashabiki kwenye ndege nyingine
5919978-6366401-image-a-39_1541663830205.jpg
5919970-6366401-image-a-35_1541663721925.jpg
5919984-6366401-image-a-36_1541663750841.jpg

5919988-6366401-image-a-33_1541663657090.jpg

5919980-6366401-Striker_Marcus_Rashford_arrives_back_in_Manchester_after_United_-a-13_15416683...jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom