Picha, Vyoo vya Shule kule Chato, na bajeti ya Billion 500 V8 kila Mwaka

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Ludeba, amesema Shule hiyo inakabiliwa na Changamoto ya kutokuwepo hata kwa tundu moja la Choo ambapo Wanafunzi wamekuwa wakijisaidia katika Choo cha Nyasi pamoja na wanafunzi wa kike kuwa watoro kwa Asilimia kubwa.
Fikiria humo kwenye nyasi wakiwa wamejificha nyoka na mwanafunzi au walimu wanajisaidia usalama wao unakuwaje
 
Wewe ni mpumbavu wa kiwango cha juu kabisa
 
Akili huna wewe

Hizo zilizochimbwa na zinazotumika umechimba wewe?

Unafikiri kazi ya kodi zetu ni nini sasa?
 
Umeongea point sana. Choo kizuri cha kisasa kinaweza kujengwa kwa matofali ya matope. Lakini ili wazazi wafanye yote hayo wanahitaji kuhamasishwa. Na hiyo ni kazi ya mbunge, ofisa elimu, mkurugenzi nk. Wako wapi? Kwa nini hawajaona kuwa hili ni tatizo katika eneo lao? Ndio maana watu wanaishia kuilamu serikali ya CCM, kwamba haisimamii mambo ya maendeleo vizuri.
 
Tuliambiwa kwamba wapinzani wanachelewesha maendeleo kwa hiyo kama mbunge wa eneo hilo ni mpinzani nitaweza kuelewa lakini kama ni wa ccm basi ninaowalaumu sana ni jeshi letu kwa kukosa uzalendo kwa kushindwa kuwaondoa hawa mafisi madarakani ambao ndio chanzo cha madhila yote haya yanayoisibu hii nchi.

Kuwaondoa kwa vipande vya karatasi ni zoezi ambalo limekuwa gumu kwa kuzingatia ukweli kwamba waga hamna uchaguzi Tanzania.
 
Who Cares, unakuta kuna CHAWA toka chato anapush agenda za watawala, anashinda mitandaoni kupinga wanaotaka katiba namaendeleo ya nchi.
Tatizo hata wanaotaka katiba wameacha kutetea bandari wamekaa kimya kwa ghafla wenye akili tulishaelewa na ruzuku juu
 
Wananchi wanafanya sana sehemu yao,ikiwemo kulipa kodi na tozo mbali mbali.tatizo lipo kwa serikali kwasababu inawaza mambo ya anasa zaidi badala ya vipaumbele vya wananchi.Sasa kama wananchi watakua pamoja na kulipa kodi bado wanachanga kila kitu uku serikali ikiwaza anasa inakua haina maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuwa huna akili vizuri
 
Tatizo hata wanaotaka katiba wameacha kutetea bandari wamekaa kimya kwa ghafla wenye akili tulishaelewa na ruzuku juu
Kutetea kivipi?
Kesi zilifunguliwa na mahakama ikabariki uuzwaji?
Ulitaka wakafunge geti pale Bandarini?
Sheria ilishapita na Katoliki wakaitwa ikulu kwenye kusaini.
Sewe kwanini hukuungana nao kutetea bandari?
 
Spika amwsema Bungeni wasizungumze agenda ya vyoo.....

Nchi yetu inaongozwa na watu wenye hulka ya kihuni
 
Namuunga mkono asilimia mia moja. Ujamaa ndio chanzo cha nchi yetu kurudi nyuma. Unazaa watoto unataka serikali iwasomeshe hadi. Chuo na iwapatie kazi ya ofisini ? Yaani watanzania wanaishi kama wapo Ujerumani au nchi na Nordic ? Watoto ni jukumu lako kama mzazi sio jukumu la serikali.
 
Inasikitisha sana hii mpk unajikuta unasema angekuwepo Kamanda Jpm haya yote yasingetokea mungu alituonea sana kumchukua Jpm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…