Hzo gharama za billboard, kutengeneza t-shirt, kutengeneza kanga, kuita watu vikao, kugawa pesa kwenye vikundi, yoote hayo wangefungua hata mfuko wenye jina walipendalo alafu likawa linafanya juhudi za kusaidia na kuleta maendeleo kwa watanzania nadhan hzo kura wangezipata kirahisi mno kuliko hv sasa wanatengeneza mazingira magumu sana kumnad mwenye kit