Nadhani hizi zitagawiwa Kwa Makatibu Kata ili kuwa Chachu ya Ushindi wa CCM kwenye Uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa baadaye Mwaka huu.
Hopefully na vyama vya Upinzani watakuwa wamepata cha kujifunza kuelekea Uchaguzi Ujao wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu