Picha: Uwajibikaji na Masilahi

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,303
405559_361947507151055_100000074279375_1520320_120313684_n.jpg
 
Hii ndio inaonyesha ni kiasi gani viongozi wetu hawako serious na wananchi na inadhihirisha ubinafsi walio nao amelala fofofo huenda alikuwa ana koroma. huyo mzee ameishajichokea sijui kwanini bado hata anapewa uwaziri. hata huku kwetu Bunda tumeisha m-delete tunasubiri amalizia muda wake arudi kuuza samaki kwenye majokofu. it is shame!
 
Mkuu, mbona huyo anayekoroma umempunguzia masilahi yake kwa siku? Siyo 200,000 bali ni 330,000 na hii ni halali kwa sababu huyo aliyesinzia maisha yamepanda sana kwake na si kwa wengine!!

Ishapanda?
 
Tutafute kipimo kitakochoweza kumpima mtu utu wake kabla hajapewa madarka,unajua viongozi wengi ni pretenders!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom