Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,343 Reaction score 89,569 Mar 14, 2024 #21 Muda wote Konde kalewa. Muda woote kuanzia asubuhi hadi jioni.
R Rwankomezi JF-Expert Member Joined Sep 5, 2013 Posts 3,285 Reaction score 2,640 Mar 14, 2024 #22 Mr mutuu said: Ila alikiba ni kauzu, mjeuri na mjivuni sana ndo maana hata huko insta amekataa ku m follow mtu yoyote, hata wasanii wakubwa kwake!!! Hio picha ya pili jamaa alimkataa harmonize vibaya sana Click to expand... Ana roho mbaya sana Alikiba ndo mana ata kila anachokifanya Hafanikiwi sababu ni kwamba...Harmonize kapatana na Baba Yake.
Mr mutuu said: Ila alikiba ni kauzu, mjeuri na mjivuni sana ndo maana hata huko insta amekataa ku m follow mtu yoyote, hata wasanii wakubwa kwake!!! Hio picha ya pili jamaa alimkataa harmonize vibaya sana Click to expand... Ana roho mbaya sana Alikiba ndo mana ata kila anachokifanya Hafanikiwi sababu ni kwamba...Harmonize kapatana na Baba Yake.
sinza pazuri JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 3,678 Reaction score 9,840 Mar 14, 2024 #23 vvvv said: Uchawa hadi unakufuru Click to expand... Apige magoti harmonize wa kukufuru niwe mie
Black Label JF-Expert Member Joined Aug 18, 2021 Posts 435 Reaction score 556 Mar 14, 2024 #24 Alikiba mshamba
The only JF-Expert Member Joined May 19, 2011 Posts 11,088 Reaction score 14,576 Mar 14, 2024 #25 Kikumbatia wanaume ni ushoga
Man Rody JF-Expert Member Joined Aug 4, 2022 Posts 1,263 Reaction score 3,000 Mar 15, 2024 #26 Tumegundua Konde ni mzee wa mikwido, anapenda kukwida
V Vito Corleone JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 2,417 Reaction score 5,274 Mar 16, 2024 #27 Anadandia sana wenzake Kwa nyuma inaweza kuwa dalili ya ushoga au umende,ila waliokumbatiwa wanasemaje?
Anadandia sana wenzake Kwa nyuma inaweza kuwa dalili ya ushoga au umende,ila waliokumbatiwa wanasemaje?
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,274 Mar 16, 2024 #28 Mr mutuu said: Ila alikiba ni kauzu, mjeuri na mjivuni sana ndo maana hata huko insta amekataa ku m follow mtu yoyote, hata wasanii wakubwa kwake!!! Hio picha ya pili jamaa alimkataa harmonize vibaya sana Click to expand... YEs anajisikia sana na ana roho ya korosho mno
Mr mutuu said: Ila alikiba ni kauzu, mjeuri na mjivuni sana ndo maana hata huko insta amekataa ku m follow mtu yoyote, hata wasanii wakubwa kwake!!! Hio picha ya pili jamaa alimkataa harmonize vibaya sana Click to expand... YEs anajisikia sana na ana roho ya korosho mno
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,755 Reaction score 25,607 Mar 17, 2024 #29 Mad Max said: Muda wote Konde kalewa. Muda woote kuanzia asubuhi hadi jioni. Click to expand... Plus mibangi na mifegi anayovuta
Mad Max said: Muda wote Konde kalewa. Muda woote kuanzia asubuhi hadi jioni. Click to expand... Plus mibangi na mifegi anayovuta
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,755 Reaction score 25,607 Mar 17, 2024 #30 Mr mutuu said: Ila alikiba ni kauzu, mjeuri na mjivuni sana ndo maana hata huko insta amekataa ku m follow mtu yoyote, hata wasanii wakubwa kwake!!! Hio picha ya pili jamaa alimkataa harmonize vibaya sana Click to expand... Hivi huwa ana hela?
Mr mutuu said: Ila alikiba ni kauzu, mjeuri na mjivuni sana ndo maana hata huko insta amekataa ku m follow mtu yoyote, hata wasanii wakubwa kwake!!! Hio picha ya pili jamaa alimkataa harmonize vibaya sana Click to expand... Hivi huwa ana hela?
O ojii-san JF-Expert Member Joined Mar 7, 2024 Posts 406 Reaction score 2,365 Mar 17, 2024 #31 Konde boy anatangatanga
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,774 Reaction score 40,447 Mar 17, 2024 #32 Nilichogundua picha no mbili huyo jamaa anajisikia sana kujiona na mjivuni mno
Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,841 Reaction score 25,352 Mar 17, 2024 #33 sinza pazuri said: Kwa diamond kila goti litapigwa yeye sio wa kwanza na hatokuwa wa mwisho kuomba radhi kwa Simba Click to expand... Usimfananishe Mungu na wapuuzi washenzi
sinza pazuri said: Kwa diamond kila goti litapigwa yeye sio wa kwanza na hatokuwa wa mwisho kuomba radhi kwa Simba Click to expand... Usimfananishe Mungu na wapuuzi washenzi
Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,841 Reaction score 25,352 Mar 17, 2024 #34 Harmonize ni mchukua nyota
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 28,750 Reaction score 91,842 Mar 17, 2024 #35 He is Pure !!.
sinza pazuri JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 3,678 Reaction score 9,840 Mar 18, 2024 #36 Unique Flower said: Usimfananishe Mungu na wapuuzi washenzi Click to expand... Wapi nimemtaja Mungu au una mshindo?
Unique Flower said: Usimfananishe Mungu na wapuuzi washenzi Click to expand... Wapi nimemtaja Mungu au una mshindo?
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,305 Mar 18, 2024 #37 Ali Kiba anajikuta nani? Ila hata mm nisingependa kurukiwa hivyo kwa nyuma...
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 10,216 Reaction score 18,956 Mar 19, 2024 #38 Konde Ni mshikaji Sana hanaga kinyongo