H Hziyech22 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2019 Posts 17,029 Reaction score 23,695 Mar 13, 2024 #2 🤣🤣🤣🤣🤣
Mr mutuu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2023 Posts 2,879 Reaction score 14,704 Mar 13, 2024 #3 Ila alikiba ni kauzu, mjeuri na mjivuni sana ndo maana hata huko insta amekataa ku m follow mtu yoyote, hata wasanii wakubwa kwake!!! Hio picha ya pili jamaa alimkataa harmonize vibaya sana
Ila alikiba ni kauzu, mjeuri na mjivuni sana ndo maana hata huko insta amekataa ku m follow mtu yoyote, hata wasanii wakubwa kwake!!! Hio picha ya pili jamaa alimkataa harmonize vibaya sana
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 47,774 Reaction score 256,812 Mar 13, 2024 #4 Konde boy .
T Thingis JF-Expert Member Joined Oct 18, 2022 Posts 3,889 Reaction score 5,985 Mar 13, 2024 #5 Kuna muda unaweza kusema konde anakujaga huku ameshashtua vishondo🤣
Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,197 Reaction score 14,890 Mar 13, 2024 Thread starter #6 Mr mutuu said: Ila alikiba ni kauzu, mjeuri na mjivuni sana ndo maana hata huko insta amekataa ku m follow mtu yoyote, hata wasanii wakubwa kwake!!! Hio picha ya pili jamaa alimkataa harmonize vibaya sana Click to expand... Nomah sana!
Mr mutuu said: Ila alikiba ni kauzu, mjeuri na mjivuni sana ndo maana hata huko insta amekataa ku m follow mtu yoyote, hata wasanii wakubwa kwake!!! Hio picha ya pili jamaa alimkataa harmonize vibaya sana Click to expand... Nomah sana!
weed JF-Expert Member Joined Sep 26, 2012 Posts 2,458 Reaction score 3,586 Mar 14, 2024 #7 shobo dundo
Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 17,822 Reaction score 24,481 Mar 14, 2024 #8 Rais anafuturisha watu wenye pesa kama hawa; inabidi na wao wakafuturishe huo mitaani kwao kwa kiasi hicho hicho kila mmoja.
Rais anafuturisha watu wenye pesa kama hawa; inabidi na wao wakafuturishe huo mitaani kwao kwa kiasi hicho hicho kila mmoja.
Mshenyentaji JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 2,047 Reaction score 2,932 Mar 14, 2024 #9 Mr mutuu said: Ila alikiba ni kauzu, mjeuri na mjivuni sana ndo maana hata huko insta amekataa ku m follow mtu yoyote, hata wasanii wakubwa kwake!!! Hio picha ya pili jamaa alimkataa harmonize vibaya sana Click to expand... Aahaaa
Mr mutuu said: Ila alikiba ni kauzu, mjeuri na mjivuni sana ndo maana hata huko insta amekataa ku m follow mtu yoyote, hata wasanii wakubwa kwake!!! Hio picha ya pili jamaa alimkataa harmonize vibaya sana Click to expand... Aahaaa
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,329 Reaction score 22,272 Mar 14, 2024 #10 Mimi nimegundua Konde Boy ni Muha.
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 33,785 Reaction score 40,544 Mar 14, 2024 #11 Kichuguu said: Rais anafuturisha watu wenye pesa kama hawa; inabidi na wao wakafuturishe huo mitaani kwako kwa kiasi hicho hicho kila mmoja. Click to expand... Kwani kila siku watu hula wapi?
Kichuguu said: Rais anafuturisha watu wenye pesa kama hawa; inabidi na wao wakafuturishe huo mitaani kwako kwa kiasi hicho hicho kila mmoja. Click to expand... Kwani kila siku watu hula wapi?
vvvv JF-Expert Member Joined Apr 12, 2018 Posts 508 Reaction score 909 Mar 14, 2024 #12 Mi nachoona Konde Boy hakaagi na kinyongo
much know JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 14,065 Reaction score 21,548 Mar 14, 2024 #13 Kushi ni amani na upendo mjamaica hamonenga Hana baya
Raine Col JF-Expert Member Joined Mar 1, 2024 Posts 468 Reaction score 1,462 Mar 14, 2024 #14 Konde ni....
El Mincho JF-Expert Member Joined Apr 27, 2009 Posts 1,943 Reaction score 4,328 Mar 14, 2024 #15 Konde boy ana roho ya kitajiri. Matajiri hawanaga vinyongo, ila maskini sasa wana roho mbaya sana ndio maana uchawi upo kwenye umaskini.
Konde boy ana roho ya kitajiri. Matajiri hawanaga vinyongo, ila maskini sasa wana roho mbaya sana ndio maana uchawi upo kwenye umaskini.
100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 8,791 Reaction score 30,985 Mar 14, 2024 #16 Aisee, ndio kina nani hao huko Daslamu.
N nyongolwe JF-Expert Member Joined May 25, 2020 Posts 3,043 Reaction score 3,808 Mar 14, 2024 #17 Brig General Carlitos Way said: Konde boy ana roho ya kitajiri. Matajiri hawanaga vinyongo, ila maskini sasa wana roho mbaya sana ndio maana uchawi upo kwenye umaskini. Click to expand... Harmo ni mnafiki sikiliza nyimbo zake ndio utajua kinyongo chake.
Brig General Carlitos Way said: Konde boy ana roho ya kitajiri. Matajiri hawanaga vinyongo, ila maskini sasa wana roho mbaya sana ndio maana uchawi upo kwenye umaskini. Click to expand... Harmo ni mnafiki sikiliza nyimbo zake ndio utajua kinyongo chake.
sinza pazuri JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 3,678 Reaction score 9,839 Mar 14, 2024 #18 Kwa diamond kila goti litapigwa yeye sio wa kwanza na hatokuwa wa mwisho kuomba radhi kwa Simba
D def_xcode JF-Expert Member Joined Jul 25, 2023 Posts 2,552 Reaction score 6,816 Mar 14, 2024 #19 konde peace tu mkiznguana mnazinguana yakiisha yanaisha sio kukaa na hasira kama baraka de prince
vvvv JF-Expert Member Joined Apr 12, 2018 Posts 508 Reaction score 909 Mar 14, 2024 #20 sinza pazuri said: Kwa diamond kila goti litapigwa yeye sio wa kwanza na hatokuwa wa mwisho kuomba radhi kwa Simba Click to expand... Uchawa hadi unakufuru
sinza pazuri said: Kwa diamond kila goti litapigwa yeye sio wa kwanza na hatokuwa wa mwisho kuomba radhi kwa Simba Click to expand... Uchawa hadi unakufuru