PICHA : Ulinzi wa Rais wetu uko imara

Hii budget kubwa kwa ajili ya kulindana ni ubadhirifu mwingine, itakuwa kuna 'wapiga dili' wanamuogofya Mkulu ya kwamba Yu hatarini sana.

Mwanasiasa hajiulizi Mara mbili kutoa pesa pale 'Position' yake inapowekwa rehani , wahuni wamecheza na fursa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…