Miwani wanayatumia kwa kuzuia jua kali. Na si vinginevyo.Ni kwaajili ya kuficha ili usione kama anakuona,
Coz kama hajavaa miwani nyeusi kuna sometimes unaweza kumuona kama katizama pembeni kidogo nawe ukatumia huo mwanya kutaka kufanya uhuni fulani,
Lakini akivaa miwani nyeusi hutoweza kujua kama anakuangalia wewe au anatizama kwingine.
Bavicha wameiba million 10 za posho.BAVICHA nitawakubali daima!
Lile tamko ndiyo limeleta jambajamba yote hii?
Acha waisome nambaeee.....ccm mbele kwa mbeleeeeeee.....[emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350]Kwahiyo hii nchi ni ya wenye madaraka?
Fanya Fujo Uone A.K.A Field Force UnitTafadhar mwenye kujua kirefu cha FFU
FUNGUA FANTA UNYWE. (FFU)Tafadhar mwenye kujua kirefu cha FFU
Mungu ndiye wa kuogopwa. Lakini si binadamu.usipende kuchangia upuuz watakuua hao jamaa lala kwenu
Field Force Unit.Tafadhar mwenye kujua kirefu cha FFU
Miwani uchwara unayouzwa na wamachinga kwa 1500,bei ya jioni.Hiyo sio miwani, ni darubini zinazowaletea taarifa za kiintelijensia!
Mungu kukusaidia wewe kupiga buku saba kwa siku pale lumumba.Mungu wenu hakuwasaidia sana kwenye uchaguzi wa 2015 kaisaidia CCM.
Sio ffu tu, bali jeshi zima la polisiFFU require attitude change bado wanayo colonial force mentality.
Kwani wewe hujui kuwa serikali ipo hapo?Hivi ungekuwa mkutano wa Chadema wangepatiwa ulinzi mkali kama huu?
Labda watangaze maandamano.
Fanya fujo uoneTafadhar mwenye kujua kirefu cha FFU
FUMBA FARA ULAJI UPITE FFU.Tafadhar mwenye kujua kirefu cha FFU
vipi umejuaje hiyo miwani haina kifaa malumuWanaiga nchi za wenzetu,wakati wenzetu wanavaa zikiwa na kifaa maalum chenye kazi special
wewe nae unajibu kama kilaza yaan hujui maana ya raisi mpaka unaandika hivi au mihemko tu!!!!!!Kwani rais si ana walinzi wake?
Wacha kujitoa ufahamu wewe ,Sio katika nchi hii and it will never be. Itabaki kwenye maandishi lakini in reality ni kwa masilahi ya ccm.Kishaija!! Ww sio mzima kichwani. Jeshi la polisi halina chama, kazi yao ni kulinda raia na mali zao nasi mkutano wa ccm..
Hii ni southern Sudan nn?