Hii yote kisa bavicha? Yaani bavicha tu? Looh! Yakija masalia ya Osama je itakuwaje? Au wale wa kisasa Islamic State? Si ndo itatubidi kutumia mitondoo?
TUJIULIZE
1: Pale kuna marais na makamu wa rais wangapi wanahudhuria huo mkutano????
2: Mawaziri wakuu wangapi wanahudhuria huo mkutano??
3: Mawaziri wangapi,wakuu wa mikoa wilaya na wabunge wangapi wako pale????
KWA KIFUPI NIELEWAVYO VIONGOZI WOTE WA NCHI KWA SASA NA WASTAAFU WAKO PALE,LAZIMA ULINZI UWE MKALI MA MZITO....
HATA CHADEMA WAKICHUKUA NCHI NA KUUNDA SERIKALI NAAMINI WATAPATIWA ULINZI KAMA HUO KWANI KWENYE MIKUTANO YAO KUTAKUWA NA VIONGOZI WAKUU WA NCHI WANAOPASWA KUPEWA ULINZI MKALI.....