Picha: Ulimboka na JK

"PHOTO INTERPRETATION"
I thank u sir for wht u did for ulimboka,we are warmly welcome u again.thats pretty job and we will never ignore ur support
 
BIG Yes!
The guy is very familiar in the corridor of power. I remember once (in the 1st term of JK) he introduced me to Hon. Hawa Ghasia. I can't say much about the sense of double-crossing but my emotions and intelligence are skeptic on the friendhsip and trust among the two!

Mmmmh....
Nina maswali mengi hapa ila sijui kiinglish
 
Jiulize:Wakati jamaa wanamteka Uli,Deo alipiga kelele au alienda kuripot wapi? au alienda zake kulala?
Na je wale jamaa wengine (Dr.s) aliwataarifu kilichotokea? kama ni HAPANA kwanini?
Hiyo picha inaweza kusema Deo ndumilakutatu au kunne...
 
uli.JPG

HAPA Ahmed Msangi amejificha wapi??
 
BIG Yes!
The guy is very familiar in the corridor of power. I remember once (in the 1st term of JK) he introduced me to Hon. Hawa Ghasia. I can't say much about the sense of double-crossing but my emotions and intelligence are skeptic on the friendhsip and trust among the two!

Haaahaaa! jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza....no comment from ma side. But I wish we could know well who we deal with when doing things with public interest.
 
Jiulize:Wakati jamaa wanamteka Uli,Deo alipiga kelele au alienda kuripot wapi? au alienda zake kulala?
Na je wale jamaa wengine (Dr.s) aliwataarifu kilichotokea? kama ni HAPANA kwanini?
Hiyo picha inaweza kusema Deo ndumilakutatu au kunne...
MI6 umenifungua macho! Dr Deo hakuchukua hatua yeyote kuhusiana na sakata hilo. Jambo hili linaacha maswali mengi yasiyo na majibu. Katika hali ya kawaida ripoti ya kutekwa Dr. Ulimboka zingepatikana hata kabla hajaokotwa msitu wa Pande. Kama kweli Deo angekuwa makini angewataarifu madaktari wenzake kuhusu tukio hili lisilo la kawaida. Kwa mshangao, hakufanya hivyo, nasi twauliza, kulikoni?
 
[h=3]JK katika picha ya pamoja na viongozi wa CHADEMA IKULU jana[/h]

Rais Jakaya Kikwete akishikana mikono na viongozi wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA), walipokwenda Ikulu Dar es Salaam jana
 
We acha uongo na speculation zako. Deousiku ule hakulala, alitoa taarifa kwa madaktari wote usiku ule ule na kwa watu wa human rights na polisi. Jibu alilopewa na polisi ni kuwa "Nyie msihangaike, mtamwona tu asubuhi" kwa tafsiri kuwa "mtamwona tu asubuhi mabwepande akiwa amekufa". Au na wewe ni mpiga jaramba kama Kova na kukamata vichaa barabarani huku ukiwasingizia kumshambulia ulimboka??

Back
Top Bottom