Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Umemsikiliza lukuvi leo Bungeni?UKAWA msirudi nyuma , tuondeleeni kichuguu cha laana CCM
Mimi namsikiliza live dr slaa hapa Arusha Mambo FM Radio - Home
Utakufa kwa presha mwaka huu....Mbona siwaoni wanawake? Hapo ndipo ilivyo tofauti kati ya UKAWA na CCM
Arusha Mambo FM Radio - Homeau kwa wale wenye sim za android nenda play store download tunein halafu u search Arusha mambo...
Unataka kuwafanya nini?Mbona siwaoni wanawake? Hapo ndipo ilivyo tofauti kati ya UKAWA na CCM
Maskini Dr Slaa! Yupo busy kutext na Josephine badala ya kuangalia watu kiduchu waliohudhuria kikao hicho
Umemsikiliza lukuvi leo Bungeni?
Mbona siwaoni wanawake? Hapo ndipo ilivyo tofauti kati ya UKAWA na CCM