covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 8,264
- 20,579
Kutoka kwenye interchange hadi kwenye flyover Aya hata iyo tutashukuru ila msijikwezage kwa kutafuta misifaa@wanasiasa
Ujenzi ukiendelea usiku na mchana View attachment 1064694 vijana wanapiga kazi na kutengeneza historiaView attachment 1064695 picha kutokea juu ya daraja la ubungo terminal
View attachment 1064699
muonekano wa interchange baada ya kukamilika
Muonekano mzurUjenzi ukiendelea usiku na mchana View attachment 1064694 vijana wanapiga kazi na kutengeneza historiaView attachment 1064695 picha kutokea juu ya daraja la ubungo terminal
View attachment 1064699
muonekano wa interchange baada ya kukamilika
...lile round about juu kutakua na msalaba yani mifugale miwili moja kqti jingine juu kabsa sipimii huo muinuko wake...