Picha: Ujenzi wa Ubungo Interchange ukiendelea na utakapokamilika

Dah...alijisefiii....ila teksi za njano ndiyo zimemuangusha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtoa mada ujue sio watu wote humu ni wajinga.hiyo picha ya chini umeidownload kwenye mtandao
Nitaattach link soon,angalia hayo magari yanapita kulia na sio kushoto
,ukiwa muongo uwe na akili ya kujiongeza

Sent using Beretta ARX 160
 
Miundo mbinu inaniongezea aje kipato?

Sent using Jamii Forums mobile app
Na sky scrapers zitakusaidiaje kuongeza kipato?Kama ni mjasiriamali hutakaa foleni kuwahi mishe mishe zako.Wagonjwa watawahishwa hospitilini,mazao yatafika mapema sokoni,ulaji wa mafuta kwa vyombo vya moto utapungua kwa kutokuwepo foleni na shughuli zingine za maendeleo zitafanyika kwa wepesi n.k.Panua ubongo wako ili uwaze kwa mapana zaidi.

Yaani unauliza miundombinu ya daraja la Ubungo litakuongezeaje kipato?

Una akili na zimetimia sawa sawa wewe?

Pimbi kabisa wewe Mkuu.Hahahahaha!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii interchange walioibadilisha ni nzuri kuliko ile ya mwanzo..
Kimuonekano ile ya kwanza ilikuwa nzuri lakini ingeleta changamoto ya folen kwenye ile floor ya 2 ila hii yasasa haitakuwa na jam
 
Mleta uzi umesema ujenzi unaendelea usiku na mchana sijaona picha za usiku hapo, na uache ufala hilo daraja halitokuwa kama ulivyoweka wewe picha ya mwisho.
Nasema daraja kwa sababu litakuwa na muonekano kama wa mfugale abuja ukiwaeleza hiyo ndiyo flyover wanaweza kufa kwa kucheka
Pale wanajenga Interchange na sio Flyover
 
Mtoa mada ujue sio watu wote humu ni wajinga.hiyo picha ya chini umeidownload kwenye mtandao
Nitaattach link soon,angalia hayo magari yanapita kulia na sio kushoto
,ukiwa muongo uwe na akili ya kujiongeza
Acha ushamba hiyo ni render sio real picture
 
Mleta uzi umesema ujenzi unaendelea usiku na mchana sijaona picha za usiku hapo, na uache ufala hilo daraja halitokuwa kama ulivyoweka wewe picha ya mwisho.
Nasema daraja kwa sababu litakuwa na muonekano kama wa mfugale abuja ukiwaeleza hiyo ndiyo flyover wanaweza kufa kwa kucheka
Daraja pia ni synonym ya flyover, neno flyover linawapa shida sana utafikiri ni kitu cha maana sana au kikubwa unbeatable kwani hamjui pamoja na kwamba Bugatti au Ferrari ni magari lakini hata vitz nayo ni gari vilevile?

Ushamba ndio unawatesa
 
da8424ba133a71b7c2d915ba68363b7a.jpg
 
Daraja pia ni synonym ya flyover, neno flyover linawapa shida sana utafikiri ni kitu cha maana sana au kikubwa unbeatable kwani hamjui pamoja na kwamba Bugatti au Ferrari ni magari lakini hata vitz nayo ni gari vilevile?
Ushamba ndio unawatesa
Kumbe ni kisawe😝😝😝 mimi nazani wewe ndiye mshamba kwa sababu hukuelewa nini nililenga.
 
flyover (plural flyovers)

(US) A low-level flight, especially of military aircraft, of a ceremonial nature; a flypast (British)
(British) A road or railway that passes over another, allowing routes to cross without interruption.
(US) A high-level overpass built above main overpass lanes

Hata lile daraja la SGR linalojengwa kutoka Station nalo ni flyover tatizo English ni tatizo kwenu na huo ushamba ndio unafunga kazi kabisa

Flyover linatokana na maneno Fly {paa/pita} na over {juu} kwa hiyo kile kitendo cha muundombinu unaoruhusu watu au vitu au wanyama kupita juu ya barabara, railway, mto au the opposite hiyo inaitwa flyover au Bridge au overpass.
 
Yani kama unategemea kuajiriwa kwenye taasisi au tayari uko ni wameajiri mtu mwenye uelewa mdogo sana na mkurupukaji.

Ina maana hujui nini nilikusudia?
 
Back
Top Bottom