Picha: Ujenzi wa Ubungo Interchange ukiendelea na utakapokamilika

Picha: Ujenzi wa Ubungo Interchange ukiendelea na utakapokamilika

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,897
Reaction score
60,966
Ujenzi ukiendelea usiku na mchana
IMG_20190405_133744.jpeg
vijana wanapiga kazi na kutengeneza historia
IMG_20190405_133659.jpeg
picha kutokea juu ya daraja la ubungo terminal

200DDA99-441F-4FC9-B5D5-C45649CB47B8.jpeg

muonekano wa interchange baada ya kukamilika
 
Hii interchange walioibadilisha ni nzuri kuliko ile ya mwanzo..
 
Itakua balaa. Sema jiwe kasitisha taasisi za serikali kushusha ma-sky scraper. Vinginevyo Dar isingekamatika
Ila bora haina maan ya kuwa na majengo marefu huku miundombinu ni ya hovyo tumwacheni amalize hili la miundombinu baadae wayajenge hayo masky scraper.
 
Miundo mbinu inafaidisha jamii pana mfano bibi yako,babu yako,mama yako,baba yako,shangazi yako,kaka yako,mjomba wako,binamu yako, shemeji yako,hawara yako n.k wataweza kutumia miundo mbinu hiyo freely ikikamilika na kujiongezea kipato.

Je,niliowataja wote hapo juu,hayo ma-sky scraper yakijengwa watafaidika nayo kweli mfano kufanyia biashara ndani ya scrapers hizo au watakuwa wanayaona kwa macho tu? Watakaofaidika si ni wenye ukwasi tu?

My take.
Sijapinga wazo lako,ila najazia mawazo mbadala.
Ila bora haina maan ya kuwa na majengo marefu huku miundombinu ni ya hovyo tumwacheni amalize hili la miundombinu baadae wayajenge hayo masky scraper.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada ujue sio watu wote humu ni wajinga.hiyo picha ya chini umeidownload kwenye mtandao
Nitaattach link soon,angalia hayo magari yanapita kulia na sio kushoto
,ukiwa muongo uwe na akili ya kujiongeza
Ni Addis Ababa
 
Hiyo interchange ghorofa ya kwanza imeshushwa chini na juu kutakua na madaraja mawili ya mfugale yamepishana kama msalaba....

Chini kutakua na muonekano kama huu na lile round about juu kutakua na msalaba yani mifugale miwili moja kqti jingine juu kabsa sipimii huo muinuko wake....

Pesa hakuna mzee wahisani washavurugwa....

Ujenzi ukiendelea usiku na mchana View attachment 1064694 vijana wanapiga kazi na kutengeneza historiaView attachment 1064695 picha kutokea juu ya daraja la ubungo terminal

View attachment 1064699
muonekano wa interchange baada ya kukamilika
1554368113381~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujenzi ukiendelea usiku na mchana View attachment 1064694 vijana wanapiga kazi na kutengeneza historiaView attachment 1064695 picha kutokea juu ya daraja la ubungo terminal

View attachment 1064699
muonekano wa interchange baada ya kukamilika

Ghorofa 2!?

Katika watu nisiowaelewa kwenye ujenzi ni hao wa barabara, unakuta leo wamefukuafukua hapa kesho wapo kule ukija tena wamebomoa walipojenga juzi siku nyingine wamehamisha udongo toka upande huu kwenda kule ukija tena wamerudisha udongo toka walikopeleka yaani mmh!! Utamu ni siku ya uzinduzi unakuta ile taswira ya awali haipo kabisaaa
 
Mleta uzi umesema ujenzi unaendelea usiku na mchana sijaona picha za usiku hapo, na uache ufala hilo daraja halitokuwa kama ulivyoweka wewe picha ya mwisho.
Nasema daraja kwa sababu litakuwa na muonekano kama wa mfugale abuja ukiwaeleza hiyo ndiyo flyover wanaweza kufa kwa kucheka
 
Miundo mbinu inafaidisha jamii pana mfano bibi yako,babu yako,mama yako,baba yako,shangazi yako,kaka yako,mjomba wako,binamu yako, shemeji yako,hawara yako n.k wataweza kutumia miundo mbinu hiyo freely ikikamilika na kujiongezea kipato.

Je,niliowataja wote hapo juu,hayo ma-sky scraper yakijengwa watafaidika nayo kweli mfano kufanyia biashara ndani ya scrapers hizo au watakuwa wanayaona kwa macho tu? Watakaofaidika si ni wenye ukwasi tu?

My take.
Sijapinga wazo lako,ila najazia mawazo mbadala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Miundo mbinu inaniongezea aje kipato?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema watapinga

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Mleta uzi umesema ujenzi unaendelea usiku na mchana sijaona picha za usiku hapo, na uache ufala hilo daraja halitokuwa kama ulivyoweka wewe picha ya mwisho.
Nasema daraja kwa sababu litakuwa na muonekano kama wa mfugale abuja ukiwaeleza hiyo ndiyo flyover wanaweza kufa kwa kucheka

Abuja???
 
Back
Top Bottom