ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,065
- 61,402
Mataa na askari ndo chanzo cha jam.Heri ya mataa kuliko askari mataa hayana upendeleoCha ajabu ni kwamba baada ya kuwekwa round about hakuna jam tena. Tatizo lilikuwa zile taa tu
Je huna picha inayoonesha mradi ukikamilika yatakuwaje? AhsanteView attachment 1064692 ujenzi ukiendelea kwa Kasi Sana kazi Ni usiku na mchana
View attachment 1064691
unakamilisha hesabu kulala nightshift ukapokee buku7[emoji62][emoji62][emoji89][emoji83][emoji107]View attachment 1064692 ujenzi ukiendelea kwa Kasi Sana kazi Ni usiku na mchana
View attachment 1064691
Kuna muda upendeleo ni muhimu. Brbr zote hazina wengi wa magari unaofanana na taa haziwezi kusenseMataa na askari ndo chanzo cha jam.Heri ya mataa kuliko askari mataa hayana upendeleo
Wata wa tanroad hawana simulation solutions/software???Cha ajabu ni kwamba baada ya kuwekwa round about hakuna jam tena. Tatizo lilikuwa zile taa tu
Hi hapa
hii kitu iko huku kwetu
Hivi wewe unakijua hiki ulicho ki post?
Hivi wewe unakijua hiki ulicho ki post?
View attachment 1064692 ujenzi ukiendelea kwa Kasi Sana kazi Ni usiku na mchana
View attachment 1064691
Ndio mzigo huo utakavyokuwa, au mna picha zingine!!Hivi wewe unakijua hiki ulicho ki post?
Ndio mzigo huo utakavyokuwa, au mna picha zingine!!
Ile yq katikati kutokea posta imejitenga mwendo kasi na magari ya kawaida...mda mwengine huu upinzani mtakuja bishia hadi wazazi wetu...tujifunze kua positive basi na nchi yetuHaipo realistic, sioni njia ya mwendo kasi hapo, au zitaundiwa mabawa zipae?
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],MkuuuHaipo realistic, sioni njia ya mwendo kasi hapo, au zitaundiwa mabawa zipae?
Ile yq katikati kutokea posta imejitenga mwendo kasi na magari ya kawaida...mda mwengine huu upinzani mtakuja bishia hadi wazazi wetu...tujifunze kua positive basi na nchi yetu
Sent using Jamii Forums mobile app