Picha tu: Lowassa Mwanza

Kuna watu bana, eti hawaamini ka hao mi watu
 
Jamani jamani jamani, mimi na washikaji zangu 5 tuliamua kutembea tokea Capri-point mpaka Furahisha, kusema ukweli lowassa ndiye raisi yani tumekanyagana mpaka tumepotezana na washikaji jinsi kulivyokuwa hakuna nafasi hata ya kupishana, ikabidi mimi na washikaji 2 twende Villa Park nako kumejaaa watu ni lowassa lowassa, simu zangu ziliiishiwa charge ndio kwanza naziwasha hapa nimeomba washikaji wanitumie picha mjionee wenyewe, ukawa cha muhimu ni kulinda kura tuu raisi ni lowassa, MUNGU IBARIKI TANZANIA , MUNGU MBARIKI LOWASSA
 
Hapo siyo mwanza,ingawa kweli mkutano wa chadema ila narudia tena hapo siyo Mwanza

Kumbeee!! Hata hilo sijui ni Jengo la wapi aisee!! Hata huo sijui ni Mto wa wapi bwana ambao una Milima ya hivyo.
 

Attachments

  • 1444675345374.jpg
    54.5 KB · Views: 498
  • 1444675406123.jpg
    48.5 KB · Views: 475
Hahahahahaha uwongo mimi nopo hapa nyamagana hakuna kitu kamahicho watu ni wachachee kweli hata 200 hawafiki teh teh teh viva lowassaaaaàaaaaa

hahaaaa!! umekuwa mkutano wa hashimu Rungwe!!!!
 
Chadema mmezidi kuchonga picha hapo si ni minar wanahiji.
 
Jambazi sugu litatumia kila mbinu lakini limenoa khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kazi yao kudanganya wajing. Phew!

Umewai muona nyumbani kwako akifanya ujambazi?Tibaijuka aliwaambia 10ml niya mboga tu sasa anagombea ubunge
 
Hahahahahaha uwongo mimi nopo hapa nyamagana hakuna kitu kamahicho watu ni wachachee kweli hata 200 hawafiki teh teh teh viva lowassaaaaàaaaaa

Mwanza nzima ni nyamagana?
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…