hapana jamani tusemeni tu ukweli hapo sio furahisha asee,,, na hivi kusema huu uongo inasaidia nini? najua ni kweli alileta mafuriko pale furahisha lakini kwani ni shilingi ngapi kuweka picha za ukweli ndugu mtoa mada?
Sasa mkusanye picha za mikutano yote vizuri, mtengeneze posta za kutosha ili zibandikwe pale Monduli (home kwa mzee) ili mzee awe anajiliwaza kwa kuziangalia baada ya tar 26.
Mama hiyo ndo na kwa taarifa yako huu mkutano umevunja rekodi ya ule wa CDM na Lowassa kutafuta wadhamini Mwz. Na ni kuambie CCM hatawakisomba na treni hawezi kupata hiyo Nyomi
Kadri watu wanavyozidi kujitokeza kwa wingi kwenye mikutano ya Edo ndiyo kadri wanavyozidi ku confirm kwamba jamaa ni dhaifu ki afya na kihoja na ndiyo kadri wanavyo kuwa alert kwamba wasimpigie kura.