Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
kwa ustarabu wa abiria wa hapa TZ naomba uniletee picha za baada ya miezi 6
kwa ustarabu wa abiria wa hapa TZ naomba uniletee picha za baada ya miezi 6
ha ha humo watu wanapanda na kuku,bata,mbuzi na kondoo
Miaka ya nyuma mabehewa yaliyokuwa safi ni ya moshi na arushakwa ustarabu wa abiria wa hapa TZ naomba uniletee picha za baada ya miezi 6
ha ha humo watu wanapanda na kuku,bata,mbuzi na kondoo
Miaka ya nyuma mabehewa yaliyokuwa safi ni ya moshi na arusha
haya ya kigoma mwanza....duuuuh
Watanzania hawana Ustaarabu kabisa, watachubua kuta, watachafua rangi....
Hatuna ustaarabu kabisa, sie ni wachafu na waharibifu.
Nina maanisha yaliyokuwa yakitoka Dar kwenda miji ya Arusha na Moshi.Arusha-Moshi masaa, Kigoma Mwanza siku tatu,
mabehewa hayana maji,
abiria wengi mno kwa kukosa alternative transport means
Halafu unategemea usafi.
Nina maanisha yaliyokuwa yakitoka Dar kwenda miji ya Arusha na Moshi.
Mabehewa yote yalikuwa yanajazwa maji katika vituo fulani fulani.
ZAMANI.70's and Early 80's
hNa majembe, mishale, mikuki, mapanga, vitanda, viroba vya mahindi, maharage. mchele nk