Ile original unapima ukubwa wa kiganja, usikhofu ukubwa wa kinywa kwani ni kumega kwa awamu hadi yote inaishia kinywani.
Leo nimekumbuka kuwaletea picha baada ya wimbo wa masifu usemao: "Yeye ni Bwana wa Mabwana , na mfalme wa wafalme wote, nao waliopamoja naye ni waitwa wateule na waaminifu."
Mkuu naona unakula Mbusi,[/QUOT Yeah! sisi hatunaga ile kitu yao batamzinga, Mbuzi ndo yake hasa ile nyama mbuzi choma kwa ndizi baada ya dkushindilia ile kitu sembe.