Picha - Speaker Makinda na hijabu

i think she iz single and free ndio maana anaonekana bado hot kwa mbaali...ila ukim zoom utatamani ukimbie
 
hakuna mnafiki kama huyu bibi, walahi yaani kaenda kununua hijab ili iweje ikiwa alisema wasiahirishe bunge.
 
Kwa waislaam wananguo nzuri kabibi kamependeza
 


Ayahhhhhhhh, kashaharibu, ukivaa hiyo kitu hutakiwi kutoa mkono hovyo hovyo. hivi waliomvalisha hawakumwambia?

Ninyi wadau wa Jf vipi, maana mwanivunja mbavu zangu, ah makubwa haya, umenikumbusha siku tupo kwenye semina ya wanahabari siku fulani iliyopita ilifanyka Kurasini Catholic Secretariety Centre, Dar, mama mmoja toka Zenj alihudhuria, asubuhi tunatoka kuhudhuria ibada kanisani na kisha breakfast, tulipotaka kumsabahi alikana kutupa mkono eti hajaenda Swaalat. Duh we waonekana wawajulia sana kama si muumini wao.
 


Anaonekana msichana mbichi kabisa, mavazi jamani hubadilisha ndo maana wenzetu wanalipendelea vazi hili.

huyu mama hata atembelewe na malaika leo, simpendi na najua nachuma dhambi, ni afadhali ya mchawi kuliko Anne Makinda

hata avae hijab, bikini, sketi na baluzi, tenge nk.

she is a misery to say the least
 
Bi.Mkora anafanya unafiki tuu hapo. siku meli inazama hakutaka kiahirisha Bunge, le watu wamekufa anaenda kuwasanifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…