[PICHA] Songas wameingiza mitambo mipya?

Uncle Rukus

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2010
Posts
2,415
Reaction score
398
soNgasi.jpg Hii ni mitambo ya nini hapa getini kwa Songas muda huu saa tisa mchana iko mitatu kwenye gari tatu kubwa....au mgao karibu kimbia zake!!!???

Source;Kibonde
 
View attachment 24166Hii ni mitambo ya nini hapa getini kwa Songas muda huu saa tisa mchana iko mitatu kwenye gari tatu kubwa....au mgao karibu kimbia zake!!!???

Source;Kibonde

Mganyizi nimeipanda source ya info "Kibonde"!

Walio kwenye sekta ya umeme watatujuza bila shaka
 
tusubiri watoke makazini wadau wa umeme watujuze zaidi
 
View attachment 24166Hii ni mitambo ya nini hapa getini kwa Songas muda huu saa tisa mchana iko mitatu kwenye gari tatu kubwa....au mgao karibu kimbia zake!!!???

Source;Kibonde

Mmmm.....ni hatari maana Sirikali inapiga upatu Songas wanunue mitambo ya DOWANS; kama wakiingiza yao ina maana ile ya DOWANS itadoda!!!!!
 
Hapa wakuu kinachotakiwa serikali inunue mitambo yake. Inawezekanaje kununua bmw za ikulu ambazo hazitumiwi mara kwa mara? Wanakuja kukodisha mitambo ambayo inahitajika kila siku? Na kinacho takiwa ni kuwa na mitambo yetu ili bei ya umeme iwenafuu kwa kila mtanzania, swala la kukodisha hata kama umeme utakuwepo 24/7 kama wewe si fisadi hatutaweza kulipa bili.
 
Mkuu tukinunua yetu kutakuwa hakuna capacity charge na ni hapo ndipo tunaposhibia
 
Back
Top Bottom