Daa.., yaan pamekuwa safi kweli.., hata siamini.., angalau sasa panaweza pakajengwa kitu cha maana hapo.., maana lile lundo la kuni lilikuwa ni shiidaa kwa miaka mingi sana..,atleast sasa..daa..
Inasikitisha sanaa...kwa style hii mbwa mwitu wataongezeka
Daa.., yaan pamekuwa safi kweli.., hata siamini.., angalau sasa panaweza pakajengwa kitu cha maana hapo.., maana lile lundo la kuni lilikuwa ni shiidaa kwa miaka mingi sana..,atleast sasa..daa..
Hi itatuhusu wote - tutarajie wimbi la ujambazi kuongezeka!
Mwenye shibe hamjui mwenye njaa siku zinakuja mambo yatakuwa kinyume chake.Daa.., yaan pamekuwa safi kweli.., hata siamini.., angalau sasa panaweza pakajengwa kitu cha maana hapo.., maana lile lundo la kuni lilikuwa ni shiidaa kwa miaka mingi sana..,atleast sasa..daa..
Unaishi nchi gani ndugu yangu? Unajua kama kwa tukio hili kuna watoto watakosa ada, chakula, matibabu, nk? Unajua kama kuna watoto watahamia mitaani? Unajua kama kuna wazazi watageuka wahalifu, majambazi, wauaji? Unajua? Hujui? Hakika umejilaani kwa maneno ya kinywa chako mwenyewe!!