Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,473
- 757
hivi kwa nini movie za kibongo nyingi zina maudhui ya watu wenye class ya juu?
nafikiri watizamaji wengi zaidi hawako katika class hiyo, isnt it better kufanya movie itakayogusa maisha ya watu wengi zaidi?
just sayin'
Mmhh ππ nimejaribu ku-zoom nimeambulia patupu!
Irene Uwoya with her script book!
Dah Huyu Uwoya kwa vivazi vyake mie nadhan sometimes anakuwa anawakwaza hata mashooter wa movie....kama yaleeee kupiga picha warembo kwenye fukwe......
hahah husband wake sijui huwa anajisikiaje ?π
Mmhh ππ nimejaribu ku-zoom nimeambulia patupu!