PICHA - Shooting ya filamu ya MY DREAMS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA - Shooting ya filamu ya MY DREAMS

Discussion in 'Jamii Photos' started by Lucchese DeCavalcante, Mar 9, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Ikiwa katika maandalizi ya mwisho ya kurekodiwa movie inayokwenda kwa jina la MY DREAMS, Mastar kibao walioshiriki katika movie hiyo wamejikuta wakitambiana kila mmoja akisema atamfunika mwenzake wakati wanapiga picha za cover katika studio ya Raqee kama zinavyoonekana.Irene Uwoya ndiye anayeonekana kuwa kinara wa movie hiyo lakini kuna msichana anayejulikana kwa jina la Rose Ndauka yeye amesema aongei kitu ila watu watajionea nini kafanya kwa upande wa Johari yeye amesema safari hii amekuja na style mpya kabisa itakayomzolea sifa na ikiwezekana akafanya kweli kama alivyoigiza kwenye movie hiyo RJ COMPAMY

  WATANZANIA na wadau wa Movie za Kibongo kaeni mkao wa kula kwani movie hii itaingia mtaani kwa kishindo... Pateni mipicha ya maandalizi ya movie hii
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  [​IMG]
   
 3. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  Irene Uwoya with her script book!
   
 4. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 5. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 6. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Cnt ccccccccccccccccccccccc
   
 7. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2010
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Tatizo la waigizaji wetu, wanapenda kuigiza kama wazungu (Kulana denda na kukaa nusu uchi) lakini uzarendo unawashinda wanafanyana kweli.
   
 8. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  hivi kwa nini movie za kibongo nyingi zina maudhui ya watu wenye class ya juu?

  nafikiri watizamaji wengi zaidi hawako katika class hiyo, isnt it better kufanya movie itakayogusa maisha ya watu wengi zaidi?

  just sayin'
   
 9. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2010
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hata mimi nimekuwa nikijiuliza the same question, hivi ni wanafunzi wa ngapi wa vyuo vikuu veytu vya bongo wanaenda na magari chuo, hivi mbona haigizi movie zenye maudhui ya kuaddress issue za watanzania kama wanavyofanya akina Leleti Khumalo? angalia picha zake kama Yesterday, Sarafina, Invictus, nk. Bongo kuna topic kibao za kuigiza na zingewapa heshima kubwa sana hata hizi kasheshe za akina Kakobe mjanja akitengeneza script nzuri unatika na bonge la movie, Matatizo ya bodi ya mikopo na wanvyuo, Skendo zote tunazozisikia ni movie tosha.

  Alfu move za wenzetu unakuta aliyetunga hadithi (kitabu ni mwingine) anayeandika script ni mwingine, director mwingine, star mwingine na ndio maana unaona imetulia maana kuna kukosoana na kurekebishana. sasa hawa movie ya kanumba kila kitu yeye, kama ya Ray basi hivyo yy mwenyewe ni mtunzi, script yeye mwenyewe, mwongozaji yeye, na star yeye tena, ndio maana zinakosa mvuto kabisa. Mtoto wa shule ya sekondari makongo wanmuweka Johari (sekondari gani hiyo tanzania hii) hata mikunyanzi ya usoni inaonyesha huyo kavuka mipaka ya kusoma na tayari kawa used. hawasikiii hawa
   
 10. S

  Swabiri Member

  #10
  Mar 9, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Tatizo tunaiga sinema za nje na tunataka kuishi maisha tunayotamani kwenye movie , achilia mbali muozo wa quality, soundtrack na mengineyo mengi tatizo ukisema wanasema unachonga sana lakini suala ni kujenga na kutengeneza movie ambazo zitacompete there is a lot of potential in this industry regardless of being so disorganized and unprofessionally managed
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Kibongo bongo tu njia za mkato nyingiiii, kila kitu wenyewe hahaha ndo maana hata quality ya muvies zenyewe ni ndogo sana
   
 12. senator

  senator JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Dah Huyu Uwoya kwa vivazi vyake mie nadhan sometimes anakuwa anawakwaza hata mashooter wa movie....kama yaleeee kupiga picha warembo kwenye fukwe......
   
 13. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Kuna tatizo la abusive parents
  Kuna suala la Umasikini
  Matatizo ya house girls
  Watoto wanaozaliwa na ukimwi
   
 14. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Maisha magumu kwa wanafunzi mavyuoni
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Haya sisi yetu macho nitajaribu kuicheki hii .....tatizo kubwa ni kuwa hawa watunzi wa hadithi hawaumizi vichwa kufanya ubunifu wao binafsi wamebakia ku-copy na kupaste ...
   
 16. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #16
  Mar 9, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mmhh :confused::rolleyes: nimejaribu ku-zoom nimeambulia patupu!
   
 17. Soulbrother

  Soulbrother JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2010
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 408
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sio utunzi pekee bali hadi editing zenyewe hazina "creativity ya kutosha"
   
 18. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahah husband wake sijui huwa anajisikiaje ?;)
   
 19. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Naskia wamesha achana. dizaini jamaa alishindwa kuwa mvumilivu.
   
 20. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Acha utundu wewe Kijana/binti
   
Loading...