Picha:. Shindano la Miss Temeke 16 July 2011

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,473
Reaction score
757


Baadhi ya warembo wanaowania taji la Redds Miss Temeke 2011 linalofanyika jana tarehe 16 July 2011 katika ukumbi wa TCC Chango'mbe wakionyesha kipaji cha kucheza.

More pictures to follow....
 

Attachments

  • misstemeke12011.jpg
    48.9 KB · Views: 296
'linalotarajiwa kufanyika jana' fanya mpango uzimue na uache kunywa pombe za moto
 

Redds Miss Temeke anayemaliza muda wake Geneiveve Mpangala akijiweka sama kukabidhi taji
 

Attachments

  • misstemeke2011.jpg
    46.9 KB · Views: 281
  • gm1.jpg
    37.6 KB · Views: 277
  • gm2.jpg
    45.2 KB · Views: 268
  • gm3.jpg
    41.1 KB · Views: 275

Washindi wa Redds Miss Temeke 2011 wakitabasamu kwa bashasha baada ya kutangazwa jana ukumbu wa Chang'ombe TCC
 
Wamepeza kweli kweli ila
Huyo mwenye gauni la blu "tooo much makeup .."
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…