Timu makini ya ushindi piga ua hiyo ndiyo kiboko ya M4C
Chama
Gongo la mboto DSM
Abdulrahman Kinana-Katibu Mkuu wa CCM, Taifa
Mwigulu Nchemba-Naibu Katibu Mkuu (Bara)
Vuai Ali Vuai-Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar)
Nape Nnauye-Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi
Asha-Rose Migiro- Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa
Zakia Meghji-Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha
Muhamed Seif Khatib, Katibu wa NEC, Oganaizesheni😛icha zote na Bashir Nkoromo)
Then what?Ukristo unasaidia nini?acha kufikiri kidinidini. Mbona ukienda hospitalini huulizi utibiwe na DAKTARI WA DINI YAKO? Nawachukia watu wanaofikiri kidinidini.Wakristo wawili tu?
Nilidhani mnatangeneza timu itakayokua kiboko ya umaskini wa mtanzania, matatizo ya maji kwa mtanzania, ajira, ubaguzi na maswala nyeti kwa mtanzania ila kumbe nyie mnatengeneza timu za kupambana na chadema??
Aisee ccm is too low.
CCM ni sawa na mbwa anayekula kinyesi chake.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
mmeanza,ni nani nani hao?Wakristo wawili tu?
Nazijua sababu za mama mkwe kupewa kitengo cha pesa..