Wazee wanatuibia wasichana wetu, nasisi bora tuwaibe wamama....ila wamama wanamambo mazuri wanatufanya tunatulia na kufa nya kazi fresh eg daimond, nuh, na vjana wengne wengi wasiokuwa maarufu
Chonde chonde msije mkamuingiza na DR MANY kwenye haya malumbano yenu, coz cyber crime is ON.
Baada ya tahadhari hiyo sasa wote tuimbe ule wimbo wa Ruby...haya twende "mapenzi hayana mwenyewe...waweza penda kijana ama mzee....niite jina langu............."