Picha: RC Makonda wa enzi hizo

Picha: RC Makonda wa enzi hizo

Maisha unaeza ukawa hata mfagiaji barabarani mesh ukawa rais wa nchi. Na ambae ameleta picha. Nahisi atakua na matatizo kabisa
 
Mlitaka awe vipi? Mbona hatupo serious? Hii nayo ni agenda? Shame Tanzania!
 
Ikizingatia makonda no mtoto wa pekee kwa baba yake na ametoka kwenye famulia masikini kabisa anatakia apewe pobgezi kabisa kwa hatua aliofikia mama kijana wengi huishia njiani hususan sisi masikini
 
amekulia maisha ya kilokole, alikuwa anamjua Mungu, maisha yake mengi amekuwa akizunguka kwenye mikutano ya injili, lakini kwa sasa, Mungu ndiye anajua.

ndio maana watu husema, bora mwanzo mbaya kuliko mwisho mbaya. utafaidika nini ukiupata ulimwengu huu wote ukaukosa uzima wa milele?
Are you innocent enough to judge your fellow human? umekamilika kwa sasa mpaka umseme makonda? don't identify yourself as an innocent guy, sote tuna mapungufu.
 
39b5885266df0014dd8f83db90115418.jpg

88bb72297d9057c72766ae910241ceed.jpg
anafanana na teacher mnoko wa civics
 
Safi sana, kumbe ni product ya from zero to hero!! Mpambanaji huyu, safi sana mleta uzi kwa kuyuonyesha kuwa makonda anatoka mbali.
 
Makomandoo wa mitandao, tujiepushe na kumzungmzia mtu Binafsi au maumbile nk. Haswa wanaume kupiga stori kama dada zetu wanaposuka nywele.
Tuzungumzie sera, mwelekeo, maadili na mwenendo wa Uongozi wa mtu, fikra, vitendo na mwelekeo kwa ujumla.
Kuna mengi tunajifunza kwa Mhe.Paul Makonda, tunajifunza mazuri ya kuiga na kuyafuata, na pia kama mengine sio mazuri tusiyafuate. Ni Mtanzania mwenzetu, ni Binaadamu mwenzetu. Pia ni mwanaMapinduzi mwenzetu.
Jukumu la kuwaheshimu viongozi wetu liwe shingo mwetu. Tunalibeba.
Katika safari ya kulitumikia Taifa letu, tunamuomba ndugu yetu awache "Unafiki" tuu. Tunahamu ya kumuona anakuwa Kiongozi safi, muadilifu, mtetea haki sio hapa nyumbani tuu, na sehemu nyingi duniani.
Mwenyezi Mungu amuongoze na kumlinda.
 
Hebukila mtu apost picha yake ya zamani humu kabla ya kuja mjini, tu angalie muonekano.
 
Mwenyezi Mungu humtoa mbali mja wake
From zero to hero
Rejea kwenye vitabu vya Mungu kuna shuhuda nyingi na nzuri huko
Nani anaijua kesho yake !
Au mfano nani ajuaye kwamba Makonda wa leo ndo Raisi wa kesho?
Chochote kinawezekana maana hakuna ajuaye ni mema yepi ambayo Mweneyzi Mungu amempangia kwa kesho
Kubwa zaidi ni kutimiza makusudi ya Mungu wako kwa kumwabudu na kumuomba sana ili utimize kusudi la yule aliyekuleta hapa duniani
Thank you sana Mkuu MWANAKA .
 
Makomandoo wa mitandao, tujiepushe na kumzungmzia mtu Binafsi au maumbile nk. Haswa wanaume kupiga stori kama dada zetu wanaposuka nywele.
Tuzungumzie sera, mwelekeo, maadili na mwenendo wa Uongozi wa mtu, fikra, vitendo na mwelekeo kwa ujumla.
Kuna mengi tunajifunza kwa Mhe.Paul Makonda, tunajifunza mazuri ya kuiga na kuyafuata, na pia kama mengine sio mazuri tusiyafuate. Ni Mtanzania mwenzetu, ni Binaadamu mwenzetu. Pia ni mwanaMapinduzi mwenzetu.
Jukumu la kuwaheshimu viongozi wetu liwe shingo mwetu. Tunalibeba.
Katika safari ya kulitumikia Taifa letu, tunamuomba ndugu yetu awache "Unafiki" tuu. Tunahamu ya kumuona anakuwa Kiongozi safi, muadilifu, mtetea haki sio hapa nyumbani tuu, na sehemu nyingi duniani.
Mwenyezi Mungu amuongoze na kumlinda.
You think positive Mkuu ubinaadamukwanza ,You reflect your username.

Congrats.
 
Leta na zako tukuone ulikotoka na ulivyo sasa. MAKONDA looks smart from the beginning.
 
Kwa kipindi hicho,kuvaa suruali,kupiga mayenu (mkanda nje) na tai kweli Makondo alikuwa mtanashati,hata mimi ananipita.

Tukileta za wengine hapa ni wale walikuwa wanalamba makamasi na kunifutia kwenye shati
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom