Unataka aweje?
Hebu tuache utani! Enzi hizo….. Wajanja pekee ndio waliokuwa wanavaa hivyo!Hiyo picha na nyinginezo za viongozi wanaotokea maisha ya chini zinatia hamasa vijana maskini kupambana, otherwise mtoa mada uwe na maana tofauti.
Mwenyezi Mungu humtoa mbali mja wake
From zero to hero
Rejea kwenye vitabu vya Mungu kuna shuhuda nyingi na nzuri huko
Nani anaijua kesho yake !
Au mfano nani ajuaye kwamba Makonda wa leo ndo Raisi wa kesho?
Chochote kinawezekana maana hakuna ajuaye ni mema yepi ambayo Mweneyzi Mungu amempangia kwa kesho
Kubwa zaidi ni kutimiza makusudi ya Mungu wako kwa kumwabudu na kumuomba sana ili utimize kusudi la yule aliyekuleta hapa duniani
Hata alikuwa hajui kupiga pasi
Zaali la mental likanitokea wakati si mjanja prof jize