Picha: RC Makonda wa enzi hizo

Picha: RC Makonda wa enzi hizo

Fekechee Makonda anazingua sana aysee ni ukweli usiopingika kua anafnya kazi nzuri lakini kufanya vizuri bila kufuata utaratibu na sheria ni kosa kubwa sana linalofanya aonekane kana kwamba Hamna anachofanya.
Alieelewa na aelewe na asiyeelewa basi akakojoe alale.
 
Mwenyezi Mungu humtoa mbali mja wake
From zero to hero
Rejea kwenye vitabu vya Mungu kuna shuhuda nyingi na nzuri huko
Nani anaijua kesho yake !
Au mfano nani ajuaye kwamba Makonda wa leo ndo Raisi wa kesho?
Chochote kinawezekana maana hakuna ajuaye ni mema yepi ambayo Mweneyzi Mungu amempangia kwa kesho
Kubwa zaidi ni kutimiza makusudi ya Mungu wako kwa kumwabudu na kumuomba sana ili utimize kusudi la yule aliyekuleta hapa duniani
Ni kweli lakini sidhani kama Mwenyezi Mungu ametuhimiza kua na chuki nakufnya mambo bila kufuata sheria
 
Hajui kuvaa tangu zamani.shati kubwa na suruali kavaa yenye malinda.ukute chini ina turn up.
 
Kweli Vita ya madawa ya kulevya ni ngumu.. Ndg yangu Kibo10 Ww ulizaliwa Kama ulivyo sasa?

Namaanisha kwamba hukuanza kufungwa Nep,hukutambaa,hukutoa makamasi hukuchambishwa na wanawake?

Hata viongozi unaowaona wakubwa dunian walianzia chini Sana.

Au Ww Vita ya makonda imekuathili nn mpaka uchambue picha zake za nyuma?
Ifike mahari tuache unafiki, unafiki ni kitu kibaya Sana, Ukiwa mnafki hata Mungu hapendi hata sikiliza kilio cha mnafki
Wenye akili tumekuelewa
 
39b5885266df0014dd8f83db90115418.jpg

88bb72297d9057c72766ae910241ceed.jpg
amekulia maisha ya kilokole, alikuwa anamjua Mungu, maisha yake mengi amekuwa akizunguka kwenye mikutano ya injili, lakini kwa sasa, Mungu ndiye anajua.

ndio maana watu husema, bora mwanzo mbaya kuliko mwisho mbaya. utafaidika nini ukiupata ulimwengu huu wote ukaukosa uzima wa milele?
 
bro alikua smart kweli, mkanda nje nje,

ndo maana akaukwaa ukuu,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

wanaangalia na history yako,

wewe hapo unavaa kaka K au matiti nje unategemea nini
 
Naona Umesahau Kuwa Ni Mwenyezi Mungu Huyo Huyo Atakayemtoa Hero To Zero

Makusudi Ya Mungu Yatawaendea Wale Wanyenyekevu Na Siyo Wakujikuza
kufuatilia madawa ya kulevya ndio kujikweza kwake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom