knock knock
JF-Expert Member
- Mar 8, 2018
- 326
- 384
Mkwenyekiti wa CUF Taifa ambaye anatambuliwa na Msajili wa vyama, Alhaj Prof Lipumba jana tarehe 18.10.2018 akizindua kampeni za nguvu katika uchaguzi mdogo Jimbo la Jangombe uwanja wa Baja kule visiwani Zanzibar kwa kumnadi mgombea wa Uwakilishi jimbo hilo badala ya yule aliyevuliwa uwanachama Dodoma Nd. Abdalla Diwani .
Picha kwa hisani ya waliokuwa karibu karibu na tukio hilo.
Pichani ni aliyekuwa mbunge wa Jamuhuri ya Muungano Habib Mnyaa sasa akiwa katika CUF Lipumba akihutubia umati uliohudhuria hapo.
Waandishi wa habari wakichukua picha na video za uzinduzi wa kampeni hizo.
Na: mwandishi wetu