PICHA : Power bank for sale!

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,819
26,180
Specifications: 10400 mAh

Brand name : MI

Used : One week


Status : In good condition.


Price : 80,000/- net!


No discount.


Check me PM if interested.


uploadfromtaptalk1463377217927.jpg



uploadfromtaptalk1463377238614.jpg
 
Power bank nasikia zinaua Simu mkuu
Umesikia wapi mkuu, lete ushahidi.

Nadhani bado hujafahamu umuhimu wa power bank.

Mimi nina uhakika na products za (MI) na ndiyo ninazotumia, sijawahi kujutia. Products nyingine sina uhakika nazo kwa hiyo siwezi kuwasemea.


Ingia sokoni ulizia kuhusu hii power bank kisha urudi tena hapa kutupa mrejesho mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom