Picha: Pinda amtembelea NASARI na NAMELOK hospitali Arusha; Lowassa pichani yasemekana akimbia pigo

Wengine wanafanya promotion ya blog zao ila kuna ambao wame-comment alipita anga hizo akapata misukosuko ya hapa na pale
Aaah sasa nimeelewa kumbe imetokana na rabsha rabsha alizokumbana nazo . Lkn haitoshi kusema alitaka kuuawa pengine kwa sababu ya watu kua wengi alisukumwa kidogo au sababu ya prukshani za watu kukimbia mabomu walimkwaa. Manake ukisema alitaka kuuawa ni taarifa nzito kidogo. Anyway hatuwezi kujua lengo la mwandishi lilikua nini.
 
Heading hizi ni problem maana hata uki-google inakuja taarifa ya alionusurika na ajali January kitu ambacho kwa jinsi ilivyoandikwa kwa uzito ingekuwa rahisi kuipata, anyway kikubwa tumeshapata info
 
Back
Top Bottom