Ahahah ahhahah mimi mama ubaya ndo simuaminig, huyu penny hanaga sifa za kijinga
Mmmmhhhhhhhhhhhh na akiivua pia atuhabarisheee
Siku izi pete hazipewi heshima zake naona kila sehemu watu wanavalishwa, ndomo nae alimvalishaga mama ubaya pete club billicanas sijui iliishia wapi, huyu nae ki bichwa kajivalisha sijui ndo kavalishwa kwel atajua na mabalaa yake ila harus yake lazima tukacheze kigodor
Ingekua ya mama ubayaa tungeambiwaa hiyo pete thamani yake ni milion 70,
Wale wanayaweza tungeamia ni special order, jana best umeona mapokez ya baba ubaya? Watu full mashauz akina mwafulan sasa na shoga ake cheus dawa kama kawa, yan ningekuwa na taarifa sahihi ningeenda kulipua bomu na mm kama Arusha