Picha: Ofisi ya CCM, sioni kupona!!!

Mwitongo

JF-Expert Member
Jan 30, 2009
312
360
CCM.JPG

Waungwana, hii ni Ofisi ya Chama Tawala (CCM) Tawi la Chamakweza, Chalinze! Kila nikitazama hali ya chama hiki naona kinaelekea kaburini tu! Tehe tehe tehe!
 
Hayakuhusu kwa sababu wewe mlengo wako ni wa kushoto achana nao wacha waendelee na ofisi zao,na mimi naona bora wao walau wanayo ya hivyo sisi sijui ni lini tutakuwa na hata ya hivi?!!!!
 
Hii wakarabati wakodishie watu kwa ajili ya kilabu ya pombe za kienyeji tu kwani sioni inafaa kwa kazi gani
 
tarehe ya uchaguzi ikifika utupe tena picha ya hiyo nyumba utaona kuna "mabadiliko fulani"
 
Back
Top Bottom