Pakishapigwa dili, suluhisho ndo huwa hilo.... ila kabla ya kuchoma huwa wanahakikisha nyaraka zote zinazoweza kubumbulua dili zinachomewa nyumbani. Maana zikianchwa ziungue na makaratasi mengine zinaweza salimika bureee...!!!!
Magamba yamechoma hicho kibanda yenyewe ili kutafuta huruma ya wananchi!!!