Muigizaji asiye na makuu nchini, jennifer kyaka aka ODAMA, hivi karibuni amekua na ziara kwenye nchi mbali mbali ,ambapo alianzia nchini china ambako alienda kusherekea sikukuu yake ya kuzaliwa pamoja na kula bata za kufa mtu nchini humo, hivi karibuni pia ameonekana akiwa dubai (dxb) akila bata, hata hivyo haijajulikana kama staa huyo amekua boss lady au kuna sponsor nyuma ya pazia ambaye anamfanyia kufuru za kufa mtu na kumpa jeuri mjini. Msanii huyo ambaye pia ni mmliki wa kampuni ya filamu na mama wa mtoto mmoja amekua msiri sana na maisha yake, hivyo kuwapa ugumu wapenda ubuyu kujua maisha yake kiundani.
Haya bi Dada ji enjoy ila warumi nawashwaa kumjua sponsor maana sio kwa bata hzo, maana wasanii wenzio wamesota hata south Africa hawajawahi kufika ila wewe naona unabadilisha flight kama daladalaView attachment 405813, uwiiiii jamani umbea huu, Dada wa watu mpole mwenyewe warumi namchokonoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
unachunguza sana duuhhhHicho ni kikwapa au macho yangu tu?
Hebu cheki huo mkono ulioshika kiuno...naona kama kuna kijasho cha kikwapa vile😀.
Armpit pads zinamhusu...
unachunguza sana duuhhh
Hanaga makuu na mtu mwenyewe, mpole kweli na haringi, sijui kwa nn baba ubaya akuzalisha huyu jamani Mali ibaki nyumbaniAisee nikajua Mimi tu ndio ninavimiguu vyembamba kumbe hata huyu? ......turudi kwenye mada lkn bidada huyu hana skendo wacha ale bata tu
Umetisha sana...!Hicho ni kikwapa au macho yangu tu?
Hebu cheki huo mkono ulioshika kiuno...naona kama kuna kijasho cha kikwapa vile😀.
Armpit pads zinamhusu...
nna kesi na wewe na vimiguu vyakoAisee nikajua Mimi tu ndio ninavimiguu vyembamba kumbe hata huyu? ......turudi kwenye mada lkn bidada huyu hana skendo wacha ale bata tu
Naalivyo mpole baba ubaya si angemfiligisa kila mahaliHanaga makuu na mtu mwenyewe, mpole kweli na haringi, sijui kwa nn baba ubaya akuzalisha huyu jamani Mali ibaki nyumbani
InterestingHuyu dada yuko poa sana.alimpenda msanii wake (jina kapuni) kabla hajazaa alikuwa anamnunulia zawadi mama mkwe balaa.ila yule kaka hata habari alikuwa hana.hakumpenda kabisa.mwisho Wa siku ilibidi aachie ngazi bila kupenda
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ipi hyo tena?nna kesi na wewe na vimiguu vyako
huyu alikua anatoka jb mahaba enzi hizo!!inasemekanaAisee nikajua Mimi tu ndio ninavimiguu vyembamba kumbe hata huyu? ......turudi kwenye mada lkn bidada huyu hana skendo wacha ale bata tu
Me nilidhani nina tatizo la kisaikolojia aisee.Nawe umeona nilichoona?
Baadhi yetu tuna fetish za ajabu ajabu
Njoo kule utaikuta kesi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ipi hyo tena?
Huyo wa river side ninaye mhisi ndie? Au nakosea ? [emoji124] [emoji124] [emoji124]huyu alikua anatoka jb mahaba enzi hizo!!inasemekana
halafu eti yule wa River side ubungo ndo sijui aliyezaa nae
km sijakosea inasemekana lakiniii!!!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] hakikisha umetafuta refa wakukubebaNjoo kule utaikuta kesi