Majina yao kiswahili ni pomboo (dolphin) na papa (shark)...
Pomboo ana mdomo mrefu uliochongoka wakati papa ana mdomo ulio chini kidogo ya ncha yake ya mbele (ingawaje kuna papa wenye ncha ya mbele pana iliyotokeza pembeni kama nyundo)
Na hata mikia yao ina tofauti kwani ule wa pomboo upo horizontal, wakati mkia wa papa upo vertical...
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi yakinifu...
Tofauti zao sasa naziona, ila kwa harak haraka majina yao huwa yananichanganya sana labda tu ni kwa sababu sina mazoea ya kuwaona mara kwa mara....