Picha nyingine ya mzee wa mstuni

Picha nyingine ya mzee wa mstuni

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,581
Reaction score
20,216
hahahaaha na huyu shost mwingine kachukia bada ya mbebez wake kutokea na picha zingine katika mitandao
 

Attachments

  • 1402041818731.jpg
    1402041818731.jpg
    21.3 KB · Views: 1,263
Jamani huyo le mutuzi ni nani hasa katika nchi hii??? Hivi umaarufu wake anamzidi RIZ MOKO?? aaaah!?
 
heheeeee.. hii week inaisha kivyake vyake yaniiiii
 
Sio kuperfom tujiulize hao dada zetu wakati wa naniliu huwa wanawafunika na shuka kwanza usoni au ama kweli pesa ni shetani.
Hahahaaaaaaaaaa,nyuso zao kwani zikoje mpaka zifunikwe mkuu
 
Sijui inakuwaje wakati wa mate? dada zetu ni MAJASIRI kupita kifani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom