Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 26,012
- 25,353
....
Chama la wabunifu chopa zinawenyewe !!!
Chama la wabunifu chopa zinawenyewe !!!
Peeplooooooosssss...... kila mtu analeta ustadi wake na ndo maana ya nguvu ya umma.... magamba hawaelewi wanadhani ni kupiga kura tu.....
leo nilitoka mza na fast jet ya asubuhi kuwahi kivote huku Dar.... Mwigulu alikuwa kiti cha mbele kasinzia na udenda unamtoka.... hoi kabisa.... chezea nguvu ya Umma weye.......
.....jamaa moja karuka na chopa mpaka Karatu ...hii mambo ya chopa tuwaachie wenyewe !!!
leo nilitoka mza na fast jet ya asubuhi kuwahi kivote huku Dar.... Mwigulu alikuwa kiti cha mbele kasinzia na udenda unamtoka.... hoi kabisa.... chezea nguvu ya Umma weye....
Hii kali... Ingawa ergonomically kuna kasheshe... Ubunifu huu yaani ukiendelezwa zana za kufundishia halitakuwa tatizo tena mashuleni. Hakuna tena kukaririshwa vitu wasivyovijua. Hongera sana mbunifu.
Peeplooooooosssss...... kila mtu analeta ustadi wake na ndo maana ya nguvu ya umma.... magamba hawaelewi wanadhani ni kupiga kura tu.....
Hii kali... Ingawa ergonomically kuna kasheshe... Ubunifu huu yaani ukiendelezwa zana za kufundishia halitakuwa tatizo tena mashuleni. Hakuna tena kukaririshwa vitu wasivyovijua. Hongera sana mbunifu.
Kawe ccm tumechukua