UPOPO
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,697
- 6,099
Bango limewekwa pale mwengekama unaenda LugaloLakini mkuu Mbona Hamna Bango la Kuonesha Mkandarasi ni Nani au Hta Mhandisi mshauri ni Nani
Bango limewekwa pale mwengekama unaenda LugaloLakini mkuu Mbona Hamna Bango la Kuonesha Mkandarasi ni Nani au Hta Mhandisi mshauri ni Nani
Kwani hata ubungo unaelewa kinajengwa nini!,Wakuu Nimepita Barabara Ya Ally Hassan Mwinyi Hapa Dar Es Salaa Na Kuona Kuna Ujenzi Unaendelea Ila Hakuna "Bango" La kuonesha Mradi Gani Unaoendelea
Karibuni Wenye Kufahamu
View attachment 1089271View attachment 1089273View attachment 1089275
SureCamon 11
Inaanzia Moroco Hadi Wapi Mkuu?Ally Hasan Mwinyi road inaanzia Moroko. Hiyo ni bagamoyo road!
AsanteBango liko mwenge just after mataa Kama unaenda makongo
Ubungo Bango Mbona Lipo Mkuu, Like kama Unatoka kituo cha Mabasi cha simu 2000 kuja Ubungo ple Sam Nujoma Wameweka AiseeKwani hata ubungo unaelewa kinajengwa nini!,
Mwanzoni tuliaminishwa kunajengwa flyover (CHANGER) na mabango ya michoro iliwekwa. Ghafla wameondoa mabango yote wameanza kujenga wanachokijua ili waje waseme wametekeleza.
DARAJA SIO FLYOVER, PERIOD!
HahaaUngewauliza au wanafunzi field màfunzo kwa vitendo
Mpaka pale kwenye makutano na barabara ya Ohio pale kwenye mataa.Inaanzia Moroco Hadi Wapi Mkuu?
Ohio street. Shaban Robert haikutani na Ali Hassan Mwinyi popote.p
Mpaka pale kwenye makutano na barabara ya Shabani Robert.
Asante kwa kunirekebisha ni Ohio nimechanganyaOhio street. Shaban Robert haikutani na Ali Hassan Mwinyi popote.
sijaona mchoro wa kinachojengwa, mwanzoni kulikuwa na Bango kubwa pale daraja la stend ya mkoa lakn sasa halipo! limekwenda wapi na kwa nini liliondolewa?Ubungo Bango Mbona Lipo Mkuu, Like kama Unatoka kituo cha Mabasi cha simu 2000 kuja Ubungo ple Sam Nujoma Wameweka Aisee
In Addition Sisi Tunataka Uharaka Hyo Mengine Ya "Kisiasa" mm Hayanihusu
However Nimeuliza Ili Nijue What Happens in my Country na Haki Yngu Kujua wla Sihatarishi Usalama