PICHA: Nini Kinaendelea Barabara Ya Ally Hassan Mwinyi?.

PICHA: Nini Kinaendelea Barabara Ya Ally Hassan Mwinyi?.

MUUZA NGADA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2018
Posts
340
Reaction score
497
Wakuu Nimepita Barabara Ya Ally Hassan Mwinyi Hapa Dar Es Salaa Na Kuona Kuna Ujenzi Unaendelea Ila Hakuna "Bango" La kuonesha Mradi Gani Unaoendelea

Karibuni Wenye Kufahamu

IMG_20190502_163704_7.jpeg
IMG_20190502_163635_1.jpeg
IMG_20190502_163704_7.jpeg
 
Kama mzalendo ungewauliza. wapi bango la kinachofanyika hapa! kwa majibu yao utakayojibiwa yawezekana bango ndio linaandaliwa na kama hawajaliandaa wape ushauri waweke haraka, ili kazi ikiwa mbovu tujue mwaribifu ni nani tumshughulikie kwa kumwajibisha.
 
Back
Top Bottom