Picha; Ninauza kitanda na dinner set Hizi hapa.

Humble African

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
4,781
Reaction score
14,439
Habari!

Ninauza dinner set yenye viti vinne iko katika hali ya kawaida kwa bei ya tshs 140000/= inapatikana Mwanza.

Pia ninauza kitanda cha mninga futi 4×6 kiko kwenye hali ya kawaida kwa tshs 60000/= kinapatikana Mwanza.

Kwa maelezo zaidi piga 0754257807.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…