Picha nilizoziona mwaka 2011

Mbona hizi pia zimetingisha mwaka huu wa 2011!
 
mkuu wa nchi alivyopelekewa noti fake(chini ya kiwango)
 

Attachments

  • kikwete na noti mpya.JPG
    121.9 KB · Views: 49
Usiku huu ilitumika kodi ya watanzania yenye thamani sawa na malipo ya kiinua mgongo ya wazee 20 wa east africa community.

Mzee wangu ni mmoja kati ya hao wazee, mkuu wa kaya alivoulizwa na balozi wa UK akajubu yeye hawezi kulipa kwakua ni Nyerere aliyetumia fedha hizo kwenye vida ya Idd Amini wala si yeye ******
 
kheee mi mbona sioni mipicha hiyo..hivi hakuna ile ya jk kakaa chini anaomba kura kwa yule mama kilema kule mafinga sijui ...ooops kumbe ile ilikuwa ni 2010
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…