bikira latifah
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 594
- 1,351
Picha zilizopigwa na kijana wangu wa kazi cheki hapo.
PIXEL 3
IPHONE 14 Pro max
PIXEL 3
IPHONE 14 Pro max
Unashangaa mkono? 😁😁
Pixel 3 used Tsh 250,000/=**
iPhone 14 Pro Max used Tsh 2.5M+
** Terms and Conditions to be Applied.
ID nameUnashangaa mkono? 😁😁
Inawezekanaje Latifa umekua na mkono wa Abdullatif?
Aliliona hilo mapema akajiwahi eti "kijana wangu wa kazi"Inawezekanaje Latifa umekua na mkono wa Abdullatif?
Na heading huwezi kueditAliliona hilo mapema akajiwahi eti "kijana wangu wa kazi"