Daah kuna watu wanakuchezea usiku nebda kwenye maombi kama uko dar neda mtoni kwa aziz ally tafutabkanisa la eagt kwa pastor katunzi hapo utapona hutaziona tena hzo chale maombi ni bure hapo.Nmekua nikijiiliza sana hizi chale ziatokea wapi, siku Fulani niliamka nikazikuta zipo mkononi karibu na bega ,nikazipiga picha ....Hua zinatoka wapi na zina maana gani naombeni mawazo yenu.
Cc. Mshana Jr View attachment 818225View attachment 818226View attachment 818229
Kata kucha zako! Labda humo unajikuna mwenyewe unapowashwa.Nmekua nikijiuliza sana hizi chale ziatokea wapi, inatokea nalala sina alama ila kesho nakuta eneo ambalo lilikuwa halina alama kesho yake limechanjwa na kitu kama viwembe kwa mbali, sio Mara moja hii kitu yaweza kunitokea mara mbili kwa mwezi sana sana maeneo ya mikono, kifuani ama mgongoni.
nimeambatanisha picha za chale nlizozikuta kwenye sehemu ya mkono....Hua zinatoka wapi na zina maana gani naombeni mawazo yenu.
Cc. Mshana Jr View attachment 818225View attachment 818226View attachment 818229
ile avatar yako nyingne iko wap? Najuta kwa nini sikuidownload, nimeamin maneno ya wahenga yasemayo "thamani ya kitu huja ukikikosa" ila sio mbaya nitakuja Pm unitumie. Turud kwenye maada, Mtoa mada nahc kalala na bund bila kujua.Hahahahaha